Sunday, April 22, 2018

BONBON KOJAK MUSICIEN DE WERRASON KUMPOKEA YESU KRISTO.

BONBON KOJAK MUSICIEN DE WERRASON Aliyekuwa DANCER wa kundi la WERRASAN "BONBON KOJAK MUSICIEN DE WERRASON" Hivi karibuni alisikika kwenye vipindi cha redio na Television akitoa ushuhuda kuwa kwa sasa ameamua kumpokea Bwana Yesu Kristo , mana shetani alimtesa kwa Muda mrefu ila sasa Yesu kamuokoa. Unaweza ukatazama maojiano yake na mtangazaji...
Share:

CARLOSINHO ARUA ( CARLOS XPERIENCE ) KUACHIA WIMBO MPYA.

Carlosinho Arua (carlos xperience) Baada ya kufanya vizuri sana katika kundi la NASWA sasa Carlosinho Arua (carlos xperience) anatarajia kuachia wimbo wake uitwao “NI WEWE ” Aliyomshilikisha mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Bella D kutoka jijini Nairobi Kenya kwa mara ya kwanza katika mwaka 2018 atachia...
Share:

Wednesday, April 18, 2018

VIDEO : ANNASTICIA MUKABWA - BILA WEWE

Annasticia Mukabwa Kutoka jijini Nairobi leo nimekuletea wimbo utakaokubariki uitwao “Bila Wewe” kutoka kwa mwimbai wa Injili nchini anayefahamika kwa jina la Annasticia Mukabwa, muziki huu umetyaarishwa ndani ya studio za Spotlight Media zilizopo nchini Kenya . Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao nina imani...
Share:

Tuesday, April 17, 2018

CHRISTOPHER MWAHANGILA & BELLA D - UMENITOA MBALI (Skiza 9330144 send to 811)

Christopher Mwahangila and Bella D Baada ya kufanya vizuri nyimbo Yake Dance Dance aliyoachia Kutoka mjini Nairobi, leo  nakukaribisha kusikiliza na kutazama wimbo mpya uitwao “UMENITOA MBALI” kutoka kwa muimbaji wa nyimbo za Injili , BELLA D akiwa ameshirikiana na Christopher Mwahangila kutoka Tanzania (Mzee wa Mungu ni Mungu tu). Wimbo huu...
Share:

VIDEO | AUDIO: RUTH MATETE - UMENI HANDLE( Skiza 9330133 )

Ruth Matete Kutoka jijini Nairobi leo nimekusogezea video nzuri iitwayo Umeni Handle kutoka kwa mwimbaji Mkongwe  wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Ruth Matete, video hii imeongozwa na director Erick Omba kutoka studio za Spotlight Media.  Hope utabarikiwa kupitia nyimbo hii kwa jina la Yesu” Kwa moyo mkunjufu...
Share: