![]() |
BONBON KOJAK MUSICIEN DE WERRASON |
Aliyekuwa DANCER wa kundi la WERRASAN "BONBON KOJAK MUSICIEN DE WERRASON" Hivi karibuni alisikika kwenye vipindi cha redio na Television akitoa ushuhuda kuwa kwa sasa ameamua kumpokea Bwana Yesu Kristo , mana shetani alimtesa kwa Muda mrefu ila sasa Yesu kamuokoa. Unaweza ukatazama maojiano yake na mtangazaji mmoja kutoka kule DRC CONGO.
0 comments:
Post a Comment