Tuesday, April 17, 2018

CHRISTOPHER MWAHANGILA & BELLA D - UMENITOA MBALI (Skiza 9330144 send to 811)

Christopher Mwahangila and Bella D
Baada ya kufanya vizuri nyimbo Yake Dance Dance aliyoachia Kutoka mjini Nairobi, leo  nakukaribisha kusikiliza na kutazama wimbo mpya uitwao “UMENITOA MBALI” kutoka kwa muimbaji wa nyimbo za Injili , BELLA D akiwa ameshirikiana na Christopher Mwahangila kutoka Tanzania (Mzee wa Mungu ni Mungu tu). Wimbo huu umetayaarishwa ndani ya studio za Spotlight Media.
Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha Kutazama Video hii na kupakua wimbo huu mzuri wenye ujumbe unaoweza kubadilisha maisha yako siku ya leo. Barikiwa!

Share:

0 comments:

Post a Comment