Tuesday, April 17, 2018

VIDEO | AUDIO: RUTH MATETE - UMENI HANDLE( Skiza 9330133 )

Ruth Matete

Kutoka jijini Nairobi leo nimekusogezea video nzuri iitwayo Umeni Handle kutoka kwa mwimbaji Mkongwe  wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Ruth Matete, video hii imeongozwa na director Erick Omba kutoka studio za Spotlight Media.
 Hope utabarikiwa kupitia nyimbo hii kwa jina la Yesu”
Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kuitazama video hii ambayo nina imani kuwa itakubariki sana, Ameen.

Share:

0 comments:

Post a Comment