Sunday, April 22, 2018

CARLOSINHO ARUA ( CARLOS XPERIENCE ) KUACHIA WIMBO MPYA.

Carlosinho Arua (carlos xperience)

Baada ya kufanya vizuri sana katika kundi la NASWA sasa Carlosinho Arua (carlos xperience) anatarajia kuachia wimbo wake uitwao “NI WEWE ” Aliyomshilikisha mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Bella D kutoka jijini Nairobi Kenya kwa mara ya kwanza katika mwaka 2018 atachia video pamoja na Audio yake mpya iitwayo NI WEWE, video ikiwa imeongozwa na director Eric Omba na muziki ukiwa umetayaarishwa na Spotlight Media .
Kwa moyo mkunjufu nakuakaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu mzuri ambao nina imani kuwa utakwenda kubadilisha maisha yako hasa kwa wewe ambaye hujampa Yesu maisha yako. Mungu akubariki sana kila utakapokuwa unasikiliza wimbo huu, Ameen.
Share:

0 comments:

Post a Comment